Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limekanusha taarifa iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii jana inayodai kuwa Kamati ya Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho hilo imemtangaza Beno Kakolanya kuwa ni mchezaji huru baada ya kuridhia kuvunjwa kwa mkataba wake na klabu ya Yanga.
ADVERTISE HERE