Boxer kuikosa Prisons

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Dec 2018
Boxer kuikosa Prisons
Uongozi wa Yanga umethibitisha mlinzi wake wa kulia kinda Paulo Godfrey 'Boxer' hatakuwa sehemu ya mchezo wa leo dhidi ya Prisons akitumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

Tangu apandishwe kutoka Yanga B, Paulo amejihakikishia namba kwenye kikosi cha kwanza mbele ya mkongwe, nahodha msaidizi Juma Abdul

Kukosekana kwake leo kutampa nafasi Abdul ambaye kwa sasa ndiye nahodha wa kikosi cha Yanga akichukua mikoba ya Kelvin Yondani aliyebaki jijini Dar es salaam
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’