Prisons wazuri, ila tumejiandaa kushinda - Zahera

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Dec 2018
Prisons wazuri, ila tumejiandaa kushinda - Zahera
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amesema mchezo wa leo dhidi ya Prisons utakaopigwa dimba la Sokoine hautakuwa mwepesi lakini wamejiandaa kikamilifu kuhakikisha wanaondoka na alama zote tatu.

Zahera amesema anafahamu Prisons ina uzoefu wa ligi kuu, pia ni timu inayocheza mchezo wa nguvu lakini hilo halimpi wasiwasi kwa kuwa wamefanya maandalizi ya kutosha.

"Tunatambua uwezo wa Prisons. Ni timu yenye uzoefu na yenye physic sana," amesema Zahera

"Tupo ugenini, tunatarajia kukutana na upinzani mkali sana. Wachezaji wangu wakifuata maelekezo niliyowapa kwenye mazoezi, tuna nafasi ya kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa leo"

Ushindi utaiwezesha Yanga kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama tano dhidi ya Azam Fc itakayoshuka dimbani kesho.

Matokeo ya ushindi pia yataifanya Yanga izidi kuitimulia vumbi Simba kwa kuongeza tofauti ya pointi baina ya timu hizo kuwa 11.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’