Sonso mguu mmoja ndani Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Dec 2018
Sonso mguu mmoja ndani Yanga
Beki kisiki wa Lipuli Fc Ally Sonso anakaribia kabisa kusajiliwa na Yanga sasa akisubiri taratibu za usajili ziweze kukamilika

Akihojiwa na televisheni ya Azam jana baada ya mchezo kati ya Lipuli dhidi ya Biashara ulioahirishwa kwenye dakika ya 26 sababu ya mvua, Sonso alisema anasubiri mchakato huo wa usajili ukamilike

"Mazungumzo kuhusu mimi kusajiliwa na Yanga yapo. Nasubiri viongozi wa timu husika wamalizane, ili mchakato wa usajili ukamilike," alisema Sonso

Beki huyo amesema hahofii ushindani wa namba uliopo katika kikosi cha Yanga ameahidi kupambana ili aweze kumshawishi kocha Mwinyi Zahera.

"Nitakwenda, nitapambana na nitamuonesha mwalimu ili niweze kucheza," amesema

Sonso anaungana na winga Reuben Bomba kutoka DR Congo ambaye tayari yuko nchini akisubiri taratibu za usajili zikamilike ili aanze kuichezea Yanga
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’