Kamati ya Utendaji ya Yanga imewateua Samwel Lukumay kuwa Kaimu Mwenyekiti wa timu hiyo na Sizya Lymo kuwa Kaimu Makamu Mwenyekiti.
Viongozi hao wataiongoza Yanga mpaka Jan 13 2019 ambayo ndio siku utafanyika uchaguzi wa kujaza nafasi zilizowazi.
Kwa miezi kadhaa Yanga imekuwa ikijiendesha bila ya kuwa na viongozi hao huku tumaini la kurejea kwa Yusufu Manji likizidi kufifia
Yanga imeshindwa kufanya Mkutano Mkuu wa dharura leo baada kukosa vibali.
Manji alitarajiwa kuhudhuria Mkutano huo kulingana na taarifa zilizotolewa na uongozi wa timu hiyo kabla ya hapo jana kutangaza kuwa Mkutano huo hautafanyika

ADVERTISE HERE