Winga mwenye 'kasi ya kimbunga' kutua Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Dec 2018
Winga mwenye 'kasi ya kimbunga' kutua Jangwani
Yanga iko mbioni kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa pembeni Reuben Bomba kutoka DR Congo, ambaye tayari ameshatua nchini.





Yanga ilianza kumfuatilia winga huyo aliyependekezwa na kocha Mwinyi Zahera tangu mwezi uliopita.

Mwenyekiti wa Kamati ya usajili ya Yanga Hussein Nyika ndiye aliyempokea winga huyo ambaye pia anaweza kucheza kama mshambuliaji wa kati.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
8h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’