Uongozi wa klabu ya Yanga kesho Jumamosi saa mbili na nusu asubuhi unatarajiwa kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya klabu hiyo jijini Dar es salaam.
Mmoja wa viongozi waandamizi wa klabu hiyo ameiambia Mwana Jangwani kuwa hawajapata vibali kwa ajili la kufanya Mkutano Mkuu wa dharura ambao umepangwa kufanyika kesho kwenye ukumbi wa PTA jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE