Manji kutinga Mkutano Mkuu kesho?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Nov 2018
Manji kutinga Mkutano Mkuu kesho?
Klabu ya Yanga kesho Jumamosi Disemba mosi inafanya Mkutano Mkuu wa dharura utakaofanyika kwenye ukumbi wa PTA kuanzia saa tatu asubuhi.

Wanachama na Mashabiki wa klabu ya Yanga siku ya kesho wangependa kufahamu hatma ya uchaguzi wa kujaza nafasi zilizowazi hasa nafasi ya Mwenyekiti ambayo uongozi wa klabu hiyo umepinga kufanyiwa uchaguzi baada ya kurejea kwa Yusufu Manji.

Wanachama wa klabu ya Yanga watakuwa na nafasi ya kulijadili hili kwani ni moja ya ajenda za Mkutano huo.

Aidha, baadhi ya WanaYanga bado hawaamini kama Manji ni kweli amekubali kuendelea kuwa Mwenyekiti kwani hajasikika akitamka hadharani zaidi ya barua yake iliyotambulishwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini Mh George Mkuchika mapema mwezi huu.

Je Manji atakuwepo kesho?

Jibu hilo litapatikana kwenye Mkutano huo lakini kwa mujibu wa kauli ya Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Yanga, Hussein Nyika, Manji atakuwepo kesho.

Nyika amesema Manji atahudhuria Mkutano huo akiwa sambamba na Baraza la Wadhamini la klabu hiyo pamoja na viongozi wengine waandamizi wa Yanga
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’