Liki Kuu raundi ya 15 kuendelea wikiendi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Nov 2018
Liki Kuu raundi ya 15 kuendelea wikiendi
Ligi Kuu ya Tanzania Bara wikiendi hii inaingia mzunguuko wa 15 kwa michezo kadhaa kupigwa siku za Jumapili, Jumatatu na Jumanne.

Timu 16 zinazoshiriki ligi hiyo zitashuka dimbani isipokuwa michezo inayozihusisha timu za Mtibwa Sugar na Simba zinazoshiriki michuano ya CAF.

Yanga inayoongoza ligi ikiwa na alama 35 itakuwa na nafasi ya kujiimarisha zaidi kileleni Jumatatu, Dec 03 itakapokuwa ugenini dimba la Sokoine kuikabili Tanzania Prisons

Azam Fc itashuka dimbani Jumanne kuikarinisha Stand United katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Hii hapa Ratiba ya michezo yote;

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’