Ule Mkutano Mkuu wa dharura ulioitishwa na uongozi wa Yanga unatarajiwa kufanyika kesho Jumamosi, Disemba 01 2018 kwenye ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam.
Mkutano huo utakuwa na ajenda Kuu tatu ambazo ni;

Taarifa za awali zimebainisha kuwa Mkutano huo utahudhuriwa na Yusufu Manji ambaye bado anatambuliwa kama Mwenyekiti wa Yanga licha ya TFF kuendelea na mchakato wa kusaka mbadala wake

ADVERTISE HERE