Wachezaji Yanga washuka dimbani bila kula leo, ni sababu ya mabadiliko ya muda wa mchezo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Nov 2018
Wachezaji Yanga washuka dimbani bila kula leo, ni sababu ya mabadiliko ya muda wa mchezo
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera amefichua kuwa wachezaji wake leo wameshuka dimbani bila ya kula chakula cha mchana kufuatia mabadiliko ya ghafla ya mda wa mchezo dhidi ya JKT Tanzania leo.

Awali mchezo huo ulipangwa kuchezwa saa 12 jioni lakini TFF iliurudisha saa kumi baada ya wamiliki wa uwanja wa Taifa kuuzuia uwanja kwa matumizi ya usiku.

Zahera amesema kutokana na kuchelewa kupewa taarifa ya mabadiliko hayo, ilibidi waahirishe kula chakula cha mchana ambacho walikuwa wameagiza kiandaliwe saa nane.

Zahera amesema wachezaji wake walipata kifungua kinywa saa tano asubuhi na baadae kuelekea moja kwa moja uwanjani kuikabili JKT Tanzania
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’