Baada ya hapo jana Mtibwa Sugar kuifumua Northen Dynamo mabao 4-0 kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho hatua ya awali, Simba nayo imepata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mbabane Swallows kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya awali pia.
Timu hizo ambazo zinaiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya CAF msimu huu, zimejiweka katika mazingira mazuri ya kusonga mbele kama hazitapoteza michezo yao ya marudiano itakayopigwa wiki ijayo.
Mtibwa Sugar itarudiana na Northern Dynamo huko Shelisheli Jumanne ijayo wakati Simba itakwenda Eswatini (zamani Swaziland) kurudiana na Mbabane siku ya Jumatano

ADVERTISE HERE