Mratibu Yanga athibitisha, mchezo dhidi ya JKT Tanzania utapigwa uwanja wa Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Nov 2018
Mratibu Yanga athibitisha, mchezo dhidi ya JKT Tanzania utapigwa uwanja wa Taifa
Mratibu wa klabu ya Yanga Hafidh Saleh amesema mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya JKT Tanzania utapigwa uwanja wa Taifa.

Kulingana na ratiba ya TFF, mchezo huo unaonekana umepangwa kupigwa uwanja wa Mkwakwani lakini Saleh amesema mchezo huo utapigwa kwenye uwanja wa Taifa kesho Alhamisi, kuanzia saa 12 jioni.

Saleh amesema maandalizi kuelekea mchezo huo yamekamilika na amewataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa kesho.

Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi yake ya mwisho uwanja wa Chuo cha Polisi, Kurasini jijini Dar kuelekea mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa 12 jioni.

"Kila kitu kipo sawa na wachezaji wote waliokambini wapo kwenye hali nzuri kuelekea mchezo wetu wa kesho, kikubwa tunawaomba sana mashabiki na wanachama wetu wajitokeze kwa wingi kutupa sapoti yao," amesema Saleh
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’