Tshishimbi amewakumbuka Mbabane Swallows

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Nov 2018
Tshishimbi amewakumbuka Mbabane Swallows
Klabu ya Mbabane Swallows iko nchini ambapo kesho Jumatano itashuka kwenye uwanja wa Taifa kucheza na Simba kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa hatua ya awali.

Kiungo Mcongoman Papi Tshishimbi alisajiliwa na Yanga akitokea klabu hiyo misimu miwili iliyopita.

Kama ishara ya kuiunga mkono timu yake hiyo ya zamani, Tshishimbi ametumia picha kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram akiwa amevalia 'uzi' wa timu hiyo.



Leo Mtibwa Sugar itashuka dimba la Azam Complex, Chamazi kuikabili Northen Dynamo kutoka Shelisheli kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho hatua ya awali
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’