Kikosi cha mabingwa kihistoria Tanzania Yanga kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam leo baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar jana.
Yanga inarudi Dar kujiandaa na mchezo dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa uwanja wa Taifa Alhamisi Nov 29.
Pichani chini baadhi ya wachezaji wa Yanga walikota dimba la Kaitaba jana;

ADVERTISE HERE