Baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar jana, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuondoka Kagera asubuhi hii ya Jumatatu, Nov 26 kuelekea mkoani Mwanza kwa usafiri wa Ndege.
Baadae Yanga itaunganisha tena kwa usafiri wa Ndege kurejea jijini Dar es salaam.
Yanga imefanikiwa kuondoka na alama zote sita kutoka Kanda ya Ziwa baada ya kushinda michezo miwili dhidi ya Mwadui Fc na Kagera Sugar
Sasa inaelekeza nguvu kwenye mchezo unaofuata dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa kwenye uwanja wa Taifa Alhamisi, Novemba 26 2018
Matokeo ya ushindi kwenye mchezo huo yataipeleka Yanga kileleni mwa msimamo wa ligi.

ADVERTISE HERE