Mchezo dhidii ya JKT Tanzania kupigwa uwanja wa Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Nov 2018
Mchezo dhidii ya JKT Tanzania kupigwa uwanja wa Taifa
Bodi ya ligi kuu TPLB imefanya marekebisho ya ratiba ya ligi hiyo ambapo ule mchezo wa kiporo kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga ambao ulipangwa kupigwa Novemba 29 uwanja wa Mkwakwani, sasa utapigwa uwanja wa Taifa Yanga ikiwa mwenyeji.

Mchezo wa mzunguuko wa pili utakaopigwa Februari 09 mwakani kwenye dimba la Mkwakwani JKT Tanzania itakuwa mwenyeji.

Mabadiliko hayo yameipa 'ahueni' Yanga ambayo baada ya mchezo wa leo dhidi ya Kagera Sugar ilipaswa kusafiri kwenda mkoani Tanga kuivaa JKT Tanzania Novemba 29 kisha kuelekea mkoani Mbeya kuikabili Tanzania Prisons Disemba 03.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’