Wagombea 23 wapitishwa kuwania uongozi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Nov 2018
Wagombea 23 wapitishwa kuwania uongozi Yanga
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imepitisha majina ya wagombea 23 wanaowania nyadhifa mbalimbali za uongozi ndani ya klabu ya Yanga.

Nafasi hizo Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na nafasi nne za Wajumbe wa Kamati ya Utendaji.

Upenda wa Mwenyekiti TFF imepitisha wagombea watatu ambao ni Dk Jonas Tiboroha, Mbaraka Igangula na Erick Ninga.

Wagombea wanne wamepitishwa kuwania nafasi ya Makamu Mwenyekiti ambao ni Titus Osoro, Salum Chota, Yono Kevela na Pindu Luhoyo.

Wagombea 16 wamepitishwa kuwania nafasi nne za Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ambapo wagombea wawili wameenguliwa kwenye mchakato huo baada ya kukosa sifa huku mmoja akishindwa kurudisha fomu.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
14h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’