Kikosi cha Yanga kiko mkoani Kagera tangu jana ambapo leo jioni kimefanya mazoezi ya mwisho katika dimba la Kaitaba tayari kwa mchezo huo utakaopigwa kesho Jumapili.
Kwenye mchezo wa kesho Yanga itamkosa mlinzi wake wa kushoto Gadiel Michael ambaye alipata majeraha katika mchezo dhidi ya Mwadui Fc juzi.
Afisa habari wa Yanga Dismas Ten amesema wachezaji wengine wote waliosafiri na kikosi mkoani Shinyanga wako katika hali nzuri na tayari kwa mchezo huo

ADVERTISE HERE