Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera jana alianzisha utaratibu wa kuwapa mazoezi wachezaji ambao hawakupata nafasi ya kucheza
Tukio hilo alilifanya baada ya kukamilika kwa dakika 90 za mchezo dhidi ya Mwadui Fc ambao Yanga ilishinda kwa mabao 2-1
Baada ya mchezo huo wachezaji ambao hawakucheza na wale walioingia kipindi cha pili walifanya mazoezi kwa dakika 45

ADVERTISE HERE