Waliokuwa wakiponda usajili wa Ngasa bado wapo?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Nov 2018
Waliokuwa wakiponda usajili wa Ngasa bado wapo?
Mrisho Ngasa leo ameng'ara na kuisaidia Yanga kuibuka na ushindi muhimu wa mabao 2-1 dhidi ya Mwadui Fc.

Ngasa alifunga bao maridadi kabisa kwenye dakika ya 55, Bao ambalo liliihakikishia Yanga ushindi wake wa kwanza ugenini.

Hakuna shaka Yanga haikufanya makosa kumrejea kundini. Amekuwa akijituma sana na mafanikio yake yameanza kuonekana.

Tayari ana mabao matatu ligi ikiwa ndio kwanza imeingia mzunguuko wa 11 kwa upande wa Yanga msimu huu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’