Leo ndiyo ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini ambapo mahasimu, watani wa jadi Simba na Yanga watashuka dimbani kwenye uwanja wa Taifa katika mchezo wa Ngao ya jamii.
Kurasa zote za michezo za magazeti ya leo zimepambwa na mtanange huo unaotarajiwa kuanza saa 11 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.






Kurasa zote za michezo za magazeti ya leo zimepambwa na mtanange huo unaotarajiwa kuanza saa 11 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.






ADVERTISE HERE