Kikosi cha Yanga kimeondoka Alfajiri ya leo Jumanne, Novemba 20 kwa ndege kwenda Mwanza kuunganisha usafiri wa barabara kwenda Shinyanga kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mwadui FC utakaopigwa keshokutwa Alhamis Uwanja Kambarage mkoani Shinyanga.
Yanga ilirejea kutoka mkoani Lindi jana na kisha kuingia kambini tayari kwa safari hiyo.
Mabingwa hao wa kihistoria wanakwenda Shinyanga kucheza mchezo wao wa kwanza nje ya jiji la Dar es salaam wakiwa wanashika nafasi ya tatu baada ya kushinda michezo nane na kutoka sare michezo miwili

Pichani juu wachezaji wa Yanga wakingia kwenye basi kuanza safari kwenda mkoani Shinyanga baada ya kutua jijini Mwanza.

ADVERTISE HERE