Stars yarejea kinyonge kutoka Lesotho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Nov 2018
Stars yarejea kinyonge kutoka Lesotho
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimewasili leo Jumatatu jioni kutoka nchini Lesotho kwenye mchezo wa kuitafuta tiketi ya kucheza Fainali za Africa 2019.

Stars imerejea ikiwa na majonzi baada ya kupoteza mchezo muhimu dhidi ya Lesotho kwa kukubali kichapo cha bao 1-0 na kufifisha matumaini ya kufuzu fainali za AFCON 2019

Mchezo wa mwisho kundi L unatarajiwa kupiga mwezi March 2019 dhidi ya Uganda.

Ushindi katika mchezo huo unaweza kuipa Stars nafasi ya kufuzu iwapo Lesotho itashindwa kupata ushindi dhidi ya Cape Verde ugenini
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’