Mchezo wa kirafiki uliofanyika Wilayani Ruangwa kati ya Namungo Fc dhidi ya Yanga umemalizika kwa sare ya bao 1-1
Bao pekee la Yanga lilifungwa na Andrew Vicent Chikupe kwenye dakika ya 26 na Namungo wakasawazisha kwenye dakika ya 86 kupitia kwa Lusajo
Yanga inatarajiwa kurudi jijini Dar es salaam kesho Jumatatu tayari kwa safari ya mkoani Shinyanga kuikabili Mwadui Fc kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara, Alhamisi Novemba 22 2018.

ADVERTISE HERE