Uganda yaichapa Cape Verde 1-0, Stars yahitaji ushindi kufuzu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Nov 2018
Uganda yaichapa Cape Verde 1-0, Stars yahitaji ushindi kufuzu
Uganda Cranes imekuwa timu ya kwanza kundi L kufuzu kwa fainali za michuano ya AFCON 2019 baada ya kuichapa Cape Verde bao 1-0 katika mchezo wa raundi ya tano uliopigwa leo nchini Uganda.

Bao pekee la Uganda lifungwa na Patrick Henry kwenye dakika ya 78.

Uganda ilikuwa inahitaji alama moja tu kujihakikishia kufuzu.

Ushindi huo umeifanya timu hiyo ifikishe alama 13 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote kutoka kundi L.

Matokeo hayo pia yameipa nafasi timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kuweza kufuzu kesho kama itaifunga Lesotho katika mchezo utakaopigwa Maseru.

Ushindi utaiwezesha Stars kuwa na alama nane ambazo hazitaweza kufikiwa na Cape Verde yenye alama nne wala Lesotho yenye alama mbili.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’