Kiungo wa Yanga Pius Buswita Alfajiri ya leo Jumatatu amepata msiba wa kufiwa na mwanawe mkoani Mara.
Mwenyenzi Mungu amtangulie na ampe nguvu katika kipindi hiki kigumu kwake.
Uongozi wa Yanga umetoa pole kwa mchezaji huyo ambaye jana aliifungia Yanga bao pekee kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya African Lyon.
"Kwa niaba ya uongozi wa Yanga Sc benchi la ufundi pamoja na wachezaji wote Kaimu katibu mkuu anatoa salamu za pole kwa mchezaji wetu Pius Buswita kwa kufiwa na mwanae wakiume aliefariki leo alfajiri huko mkoani Mara," imesema taarifa ya Yanga

ADVERTISE HERE