Joto la mpambano wa watani wa jadi limezidi kupanda, kesho Jumatano ikiwa ndiyo siku haswaa ya mpambano huo.
Kurasa za michezo za magazeti yote leo, zimepambwa na habari kuhusu mtanange huo utakaopigwa kwenye dimba la Taifa kesho kuanzia saa 11 jioni.

ADVERTISE HERE