Watanzania waombwa waichangie Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Nov 2018
Watanzania waombwa waichangie Stars
Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' iko nchini Afrika Kusini ikiendelea na maandalizi ya mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga fainali za AFCON 2019 dhidi ya Lesotho.

Mchezo huo utapigwa Jumapili ijayo, Novemba 18 huko Masseru.

Ili kuhakikisha Stars inafuzu, viongozi wa Shirikisho la soka nchini (TFF) wameomba sapoti ya mashabiki waichangie timu hiyo ili ifanye maandalizi ya uhakika.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’