Siku kama ya leo alizaliwa nahodha msaidizi wa Yanga Juma Abdul, mmoja ya wachezaji walioipa mafanikio makubwa Yanga.
Amekuwa kwenye kikosi cha Yanga kwa zaidi ya misimu minne.
Ukizungumzia misimu mitatu mfululizo kuanzia 2014 mpaka 2017 ambayo Yanga ilitwaa taji la ligi kuu, huwezi kukosa kutaja jina Abdul kwani ni miongoni mwa wachezaji ambao waling'gara sana
Tunamtakia kila la kheri katika yake hii muhimu.
HAPPY BIRTHDAY JUMA ABDUL

ADVERTISE HERE