Ligi Kuu ya Tanzania Bara imesimama kwa takribani siku 10 kupisha michuano ya Kimataifa iliyo katika kalenda za CAF na FIFA.
Ili kuhakikisha wachezaji wake wanaendelea kuwa katika hali ya ushindani, kikosi cha Yanga kitacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya African Lyon keshokutwa Jumapili, Novemba 11 2018.
Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kwenye dimba la Uhuru.
Yanga imeendelea kujifua kwenye uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mwadui Fc utakaopigwa Novemba 22 mkoani Shinyanga

ADVERTISE HERE