Kikosi cha Yanga kilichokuwa kimeweka kambi kisiwani Pemba kimewasili jijini Dar es salaam jana Jumanne, saa nane mchana.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa juzi na Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten, alisema hali ya wachezaji wote iko sawa isipokuwa Obrey Chirwa, Geofrey Mwashiuya na Beno Kakolanya ambao wataukosa mchezo wa Jumatano kutokana na majeruhi.
Yanga itashuka dimbani Jumatano, August 23 kuumana na Simba kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa kwenye dimba la Taifa ukitarajiwa kuanza saa 11 jioni.

ADVERTISE HERE