Mshambuliaji wa Yanga Amissi Tambwe leo ameachana na ukapera baada ya kufunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi.
Hafla ya ndoa ya mkali huyo wa mabao imefanyika mapema leo jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wachezaji wenzake wa Yanga.

Tunamtakia kila la kheri, Mwenye ez Mungu amtangulie katika maisha yake mapya aliyoyaanza leo.

ADVERTISE HERE