Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo inaingia raundi ya 14 kwa michezo sita kupigwa kwenye viwanja mbalimbali.
Ligi hiyo inaendelea bila ya vinara wa ligi hiyo Azam Fc, Simba na Yanga ambazo zimetoa wachezaji wengi kwenye kikosi cha timu ya Taifa kilichoweka kambi nchini Afrika Kusini.
Hii hapa michezo inayotarajiwa kupigwa leo na kesho Alhamisi;

ADVERTISE HERE