Stars yaenda kambini Afrika Kusini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Nov 2018
Stars yaenda kambini Afrika Kusini
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimeondoka mapema leo kwenda Afrika Kusini kuweka kambi maalum kujiandaa na mechi dhidi ya Lesotho kuwania kufuzu AFCON 2019.

Wachezaji waliosafiri na timu hiyo ni makipa Aishi Manula (Simba SC), Aaron Kalambo (Tz Prisons) Beno Kakolanya (Yanga SC) na Benedictor Tinocco (Mtibwa Sugar)

Mabeki ni Shomary Kapombe (Simba), Salum Kimenya (Tz Prisons) Erasto Nyoni (Simba) Ally β€˜Sonso’ Abdulkarim (Lipuli) Kelvin Yondani (Yanga), Gardiel Michael (Yanga), Aggrey Morris (Azam) na Abdallah Kheri (Azam)

Viungo ni Salum Abubakar β€˜Sure Boy’ (Azam) Mudathir Yahya (Azam) Feisal Salum 'Fei Toto' (Yanga), Jonas Mkude (Simba) na Shiza Kichuya (Simba).

Washambuliaji ni Thomas Ulimwengu (Huru), John Bocco (Simba) na Yahya Zayd (Azam)

Aidha wachezaji wanaokipiga nje ya Tanzania wataungana na wenzao nchini humo kwa mechi dhidi ya Lesotho itakayopigwa Novemba 18.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’