Andrew Vicent Chikupe maarufu kama Dante alisajiliwa na Yanga msimu uliopita kutoka Mtibwa Sugar.
Dante kiwango chake kimeendelea kuimarika siku hadi siku na sasa mwenyewe anasema yuko tayari kuingia kwenye kikosi cha kwanza cha kocha George Lwandamina.
Aidha Dante ameuambia mtanadao huu kuwa anajifua kwa nguvu ili kuwa fiti wakati timu itakapoingia kambini tayari kwa maandalizi ya msimu mpya mwezi Julai.
Amesema hahofii wachezaji wapya wanaosajiliwa na Yanga kwani yuko tayari kuweka ushinda na mchezaji yeyote anayecheza nafasi kama yake.
Yanga imekamilisha usajili wa beki wa kati Abdallah Haji Shaibu kutoka klabu ya Taifa ya Jan'gombe.
Kuna taarifa kuwa Yanga inasaka mlinzi mwingine wa kati.

ADVERTISE HERE