Yanga kamili kuikabili Ndanda Fc leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Nov 2018
Yanga kamili kuikabili Ndanda Fc leo
Kikosi cha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania Yanga leo jioni kinashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Ndanda katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara mzunguuko wa 13.

Mchezo huo unatarajiwa kuanza saa moja usiku.

Yanga inayoshika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi itashuka dimbani kusaka alama tatu muhimu ambazo zinaweza kuwapeleka kileleni mwa msimamo wa ligi iwapo Azam Fc itashindwa kuibuka na ushindi dugenini hidi ya Kagera Sugar.

Yanga leo inatarajiwa kuwa na kinara wake wa 'kupika' mabao Ibrahim Ajib ambaye alikosa michezo miwili iliyopita kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya mgongo

Wakati nahodha Kelvin Yondani atakosa mchezo huo kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya goti, nahodha msaidizi Juma Abdul anatarajiwa kurejea kikosini baada ya kinda Paulo Godfrey kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo uliopita.

Beki Andrew Vicent aliyekosa michezo mitatu akitumikia adhabu ya Kamati ya Nidhamu ya TFF, nae anatarajiwa kurejea kikosini
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’