Mwenyekiti wa Matawi ya Yanga Bakili Makele amesema wameanza zoezi la kuhakiki wanachama ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi kwa ajili ya kujaza nafasi zilizowazi.
Juzi Baraza la Michezo la Tanzania (BMT) liliiagiza klabu ya Yanga kwa kushirikiana na TFF kuhakikisha inafanya uchaguzi wa kujaza nafasi zilizowazi mapema.
Baada ya agizo hilo ambalo pia liliitaka Yanga ijaze nafasi ya Mwenyekiti, Viongozi wa Matawi ya klabu hiyo walikutana kwa dharura
Mbali na kuanza utekelezaji wa maagizo hayo ya BMT, Bakili amesema uchaguzi utakaofanywa na Yanga hautahusisha nafasi ya Mwenyekiti Yusuf Manji.
Amesema Wanachama wanamtambua Manji kama Mwenyekiti wao na kiongozi huyo alisharejea klabuni

ADVERTISE HERE