Watatu Yanga waitwa timu ya Taifa ya Vijana U23

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Nov 2018
Watatu Yanga waitwa timu ya Taifa ya Vijana U23
Mlinda lango Ramadhani Kabwili, walinzi Abdallah Shaibu 'Ninja' na Geofrey Paul ni miongoni mwa wachezaji walioitwa kuunda kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania chini ya Miaka 23 kitakachoingia kambini Novemba 6,2018 kujiandaa na mchezo wa kufuzu Afcon U23 dhidi ya Burundi utakaochezwa Novemba 14 nchini Burundi na marudiano Novemba 20 Uwanja wa Taifa.

Hiki hapa kikosi kamili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’