Ligi Kuu ya Tanzania Bara mzunguuko wa 13 inaendelea leo kwa michezo miwili kupigwa.
African Lyon itakuwa uwanja wa Uhuru ikiikaribisha Lipuli Fc wakati kule mkoani Shinyanga Stand United itaumana na Coastal Union.
Ligi hiyo itandelea siku za Jumamosi, Jumapili na Jumatatu kwa michezo nane kupigwa kama inavyoonekana kwenye ratiba hapa chini;

ADVERTISE HERE