Tarehe kama ya leo alizaliwa beki wa kushoto wa Yanga Haji Mwinyi Mngwali anayetimiza miaka 27.
Mwinyi amekuwa sehemu ya mafanikio ya kikosi cha Yanga katika misimu minne iliyopita.
Ni mmoja wa wachezaji waliotwaa taji la ligi kuu kwa misimu mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2014 hadi 2017.
Licha ya sasa kukabiliwa na upinzani mkali wa kupata namba kwenye kikosi cha Mwinyi Zahera, beki huyo anaamini bado ana nafasi ya kuipa Yanga mafanikio zaidi
Tunamtakia kila la kheri. Mwenye ez Mungu amjaalie maisha marefu na yenye mafanikio.
HAPPY BIRTHDAY HAJI MWINYI

ADVERTISE HERE