Kiungo Papi Kabamba Tshishimbi amepamba kurasa za magazeti mengi ya michezo siku ya leo. Tshishimbi ameichezea Yanga kwa mara ya kwanza jana kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Jamhuri ya Pemba.
Aidha Mpambano wa Ngao ya Jamii unaotarajiwa kupigw akweshokutwa Jumatano umeendelea kupamba vichwa vya habari vya kurasa za michezo.
Aidha Mpambano wa Ngao ya Jamii unaotarajiwa kupigw akweshokutwa Jumatano umeendelea kupamba vichwa vya habari vya kurasa za michezo.
ADVERTISE HERE