Baraza la michezo la Tanzania (BMT) limeiagiza klabu ya Yanga kufanya uchaguzi ambao limeagiza usimamiwe na Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kwa kuwa kamati ya uchaguzi ya Yanga haijitoshelezi.
Aidha, BMT imeamuru wanachama wote wenye kadi tofauti kwenda kwenye matawi yao kujisajili ndani ya wiki tatu kuanzia sasa.
BMT imeitaka TFF kupanga tarehe ya uchaguzi na kuitangaza mwezi huu.
Miongoni mwa nafasi zilizoagizwa kujazwa ni pamoja na nafasi ya Mwenyekiti wa klabu ya Yanga.

ADVERTISE HERE