Yanga yaiandalia 'dozi' Ndanda Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Nov 2018
Yanga yaiandalia 'dozi' Ndanda Fc
Kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini leo baada ya mapumziko ya siku moja kujiandaa na mchezo unaofuata wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Ndanda Fc.

Mchezo huo utapigwa Jumapili katika dimba la Taifa.

Ibrahim Ajib na Papi Tshishimbi ni miongoni mwa wachezaji waliofanya mazoezi leo uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam.

Ajib amekosekana kwenye kikosi cha Yanga kwa takribani wiki moja kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya mgongo.

Kurejea kwake ni habari njema kwa Yanga lakini mbaya kwa Ndanda Fc ambayo tayari iko jijini Dar es salam ambapo jana ililazwa mabao 3-0 na KMC katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara

Msimu huu Ajib amekuwa na rekodi ya kipekee kwenye kikosi cha Yanga akiwa amefunga mabao matatu na kusababisha mengine nane
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’