Kiungo chipukizi wa Yanga Maka Edward leo amepata nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo kinachoshuka dimbani uwanja wa Taifa kuikabili Lipuli FC.
Aidha kiungo Jaffar Mohammed naye amejumuishwa kwenye orodha ya wachezaji wa akiba nae huenda akapata nafasi ya kushuka dimbani leo.
Mashabiki wa Yanga wamekuwa na shauku kubwa ya kuwaona wachezaji hao dimbani hasa kutokana na viwango vizuri ambavyo wamekuwa wakionyesha kwenye michezo ya kirafiki.
Maka alifanya vizuri sana mwishoni mwa msimu uliopita wengi wanatamani kuuona mwendelezo wa kiwango hicho alichomaliza nacho msimu

ADVERTISE HERE