Matokeo, mechi za TPL zilizopigwa leo Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Oct 2018
Matokeo, mechi za TPL zilizopigwa leo Jumapili
Ruvu Shooting imeendeleza uteja kwa Simba baada ya kufumuliwa mabao 5-0 kwenye mchezo uliopigwa Jumapili jioni katika dimba la Taifa.

Mapema Azam Fc ilijihakikishia kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kuilaza Singida United bao 1-0. Bao likifungwa Donald Ngoma, mshambuliaji wa zamani wa Yanga

JKT Tanzania na Mtibwa Sugar nazo ziliibuka na ushindi katika michezo yao iliyopigwa mapema leo

Matokeo ya michezo yote iliyopigwa leo



Ligi hiyo itaendelea kesho Jumatatu kwa michezo miwili kupigwa ambapo Stand United itakuwa mwenyeji wa Mwadui Fc huku African Lyon ikiikaribisha Biashara FC kwenye mchezo utakaopigwa dimba la Uhuru

Yanga, mabingwa kihistoria wa Tanzania watashuka dimbani keshokutwa Jumanne kuikabili Lipuli Fc wakati siku hiyohiyo Mbao Fc itachuana na Mbeya City
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’