Mechi za Ligi Kuu zinazopigwa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Oct 2018
Mechi za Ligi Kuu zinazopigwa leo
Ligi Kuu ya Tanzania Bara inaendelea leo Jumapili kwa michezo mitano kupigwa katika viwanja mbalimbali.

Mchezo wa mapema saa nane mchana, JKT Tanzania itakuwa mwenyeji wa Tanzania Prisons katika mchezo utakaopigwa Uwanja wa IsaMuhyo

Vinara wa ligi hiyo Azam Fc wako mkoani Singida kuikabili Singida United wakati kule mkoani Morogoro kutakuwa na 'derby' ya wakatamiwa ambapo Mtibwa Sugar itapepetana na ndugu zao Kagera Sugar.

Alliance, vibonde wa ligi hiyo watakuwa mkoani Mwanza kupepetana na Coastal Union kwenye mchezo utakaopigwa katika dimba la Nyamagana

Ruvu Shooting imepania kuwapapasa mabingwa watetezi Simba katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Taifa kuanzia saa moja jioni.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
21m ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
12h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’