Yanga yaingia kambini kuiwinda Lipuli Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Oct 2018
Yanga yaingia kambini kuiwinda Lipuli Fc
Kikosi cha Yanga leo kimeingia kambini Hoteli ya Nefaland jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Lipuli Fc.

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumanne, kwenye uwanja wa Taifa.

"Baada ya mechi siku ya Alhamisi timu ilipumzika Ijumaa, Jumamosi timu ikaanza mazoezi yake na leo hii timu imeingia kambini Nefaland Hotel tayari kwa maandalizi ya mechi ya Jumanne dhidi ya Lipuli Fc itakayochezwa uwanja wa Taifa saa 1 usiku Yanga wakiwa wenyeji wa Mchezo huo," imesema taarifa ya Yanga

Baada ya mchezo huo Yanga haitashuka tena dimbani hadi baada ya mchezo wa Stars wa kusaka tiketi ya kufuzu fainali za AFCON 2019 dhidi ya Lesotho Novemba 16.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’