Yanga imekamilisha michezo ya mzunguuko wa 11 iliyopigwa leo kwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC. Bao pekee la Yanga limewekwa kambani na kiungo kinda Feisal Salum 'Fei Toto'
Matokeo ya michezo minne iliyopigwa leo;

Eliud Ambokile wa Mbeya City ameendelea kuongoza orodha ya watupia nyavu akiwa amefunga mabao saba
Azam Fc inaongoza ligi ikiwa imejikusanyia alama 24. Yanga iko nafasi ya pili ikiwa na alama 22 huku Simba ikishika nafasi ya tatu ikiwa na alama 20
Msimamo kamili

ADVERTISE HERE