Mwamuzi bora wa msimu uliopita, Elly Sassi mwenye umri wa miaka 28 ndiye atakayechezesha mechi ya watani Yanga na Simba.
Simba na Yanga zinakutana Jumatano ijayo katika mechi ya Ngao ya Jamii kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ukiwa ni mchezo wa kuashiria kufunguliwa kwa pazia la ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2017/18 utakaoanza rasmi Agasti 26.
Sassi aliibuka mwamuzi bora Ligi Kuu msimu ulioisha 2016/2017.

ADVERTISE HERE